Nội dung text 8. COLORS, OCCUPATIONS, GAMES, SPORTS, AND HOBBIES.pdf
LESSON 8 COLORS, OCCUPATIONS, GAMES, SPORTS, AND HOBBIES -Hapa tutaangalia rangi, kazi, michezo na hobi, yani vitu watu wanavyopenda kwenye Maisha yao. COLORS / RANGI -Red / nyekundu -Blue / bluu - Black / nyeusi -White / nyeupe -Grey / kijivu - Yellow / njano - Green / kijani -Orange / rangi ya chungwa -Pink / pinki -Purple / zambarau -Brown / rangi ya blauni -Wine / nyeusi iliyochanganyika na nyekundu -Maroon / damu ya mzee OCCUPATIONS/ KAZI -Farmer / mkulima -Teacher / mwalimu -Mason / fundi ujenzi -Doctor / daktari -Mid-wife / mkunga -Nurse / nesi