©Tzshule |
[email protected] | Piga/WhatsApp +255 718 451 939 KISWAHILI I
YALIYOMO Utangulizi ...................................................................................................... Shukrani......................................................................................................... Mtihani wa Kwanza............................................................................................. Mtihani wa Pili................................................................................................... Mtihani wa Tatu.................................................................................................. Mtihani wa Nne................................................................................................... Mtihani wa Tano................................................................................................. Mtihani wa Sita................................................................................................... Mtihani wa Saba.................................................................................................. Mtihani wa Nane ................................................................................................. Mtihani wa Tisa.................................................................................................. Majibu ya mtihani wa Kwanza.................................................................. ............ Majibu ya mtihani wa Pili......................................................................... ............ Majibu ya mtihani wa Tatu...................................................................... ............ Majibu ya mtihani wa Nne ...................................................................... ............ Majibu ya mtihani wa Tano ...................................................................... ............ Majibu ya mtihani wa Sita........................................................................ ............ Majibu ya mtihani wa Saba ...................................................................... ............ Majibu ya mtihani wa Nane ................................................................... ............ Majibu ya mtihani wa Tisa...................................................................... ............
UTANGULIZI Karatasi hii ina mfululizo wa mitihani ya KISWAHILI - I (kwa wanafunzi wa kidato cha SITA). Mitihani yote imetungwa kwa kuzingatia muundo wa sasa kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa mwaka 2023. Karatasi Inalenga kuwapa wanafunzi kwa maswali mbalimbali na jinsi ya kujaribu maswali ipasavyo. Pia, itasaidia wanafunzi kuuzoea muundo mpya kama iliyotolewa na NECTA kuelekea mitihani yao ya TAIFA. Si wanafunzi pekee bali pia walimu wanaweza kuitumia kama nyenzo ya kufundishia na kujifunzia.
SHUKRANI Kwanza kabisa, tunapenda kumshukuru na kumtukuza Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia baraka, maarifa na fursa nyingi kwa Timu ya Tzshule na hatimaye tumeweza kuifanikisha kazi hiyii. Pili, tunapenda kumshukuru Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Tzshule (Bw. George Ramadhani) kwa kutokukata tamaa katika ndoto yake ya kuendeleza kutoa nyenzo za elimu kwa njia ya kielektroniki nchini kote. Pia tunapenda kuwashukuru Watumiaji wote wa Tzshule kwa kutuunga mkono kazi zetu, kutupa maoni chanya na kututia moyo kufanya zaidi na zaidi katika kutengeneza nyenzo za elimu. - M/MUNGU AWABARIKI SANA - ©Tzshule - 2023 “Jifunze na Ufanikiwe” ******************************************************** Motto wetu: “Elimu Bora, kwa Kizazi Kijacho”
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 021 KISWAHILI 1 Muda: Saa 3 MWAKA: 2023 Maelekezo 1. Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali nane (08) 2. Jibu maswali yote ya sehemu A na swali matatu katika sehemu B. swali la nane (08) ni la lazima. 3. Simu za mikononi na vifaa vya kielektroniki katika chumba cha mtihani haviruhusiwi. 4. Andika Namba yako ya mtihani katika kila ukurasa wa kijitabu cha kujibia.