Nội dung text KISWAHILI KIDATO CHA NNE NEW 2023.pdf
AZIMIO LA KAZI LA KISWAHILI KIDATO CHA NNE 2023 MUHULA WA I & II 1 / 8 JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA AZIMIO LA KAZI JINA LA MWALIMU: ____________________________________ JINA LA SHULE: ________________________________________ SOMO: KISWAHILI DARASA: KIDATO CHA NNE MUHULA: I & II MWAKA: 2023
AZIMIO LA KAZI LA KISWAHILI KIDATO CHA NNE 2023 MUHULA WA I & II 2 / 8 UMAHIRI MKUU UMAHIRI MAHUSUSI SHUGHULI YA UFUNDISHAJI MWEZI WIKI VIPIND I REJEA ZANA ZA UFUNDISHAJI NA KUJIFUNZIA UPIMAJI MAONI KUONGEZA MSAMIATI WA KISWAHILI Uundaji wa maneno 1. Tumia maswali na m aj i b u namajadiliano kuibua miktadha inayodai maneno mapya. 2. Mwalimu awaongoze wanafunzikwa kutumia maswali na majibu kueleza njia za kuunda maneno. Januari Wiki Ya 2 3 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Matini yenye maneno yaliyoundwa kwa njia tofauti tofauti. • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi KUONGEZA MSAMIATI WA KISWAHILI Uundaji wa maneno 3. Mwalimu awangoze wanafunzi wabaini na wataje maneno ya Kiswahili yaliyoundwa kwa kutohoa na kubandika silabi. Januari Wiki Ya 4 2 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Matini yenye maneno yaliyoundwa kwa njia tofauti tofauti. • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi KUONGEZA MSAMIATI WA KISWAHILI Uundaji wa maneno 4. waongoze wanafunzi katika vikundi kuunda maneno kwa kutumia njia ya kutohoa na kubandika silabi. Januari Wiki Ya 4 2 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Matini yenye maneno yaliyoundwa kwa njia tofauti tofauti. • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU 1 Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Katika Enzi ya Waingereza 1. Kwa kutumia njia ya bungua bongo na majadiliano mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini namna Kiswahili kilivyokua katika enzi ya Waingereza kimsamiati. Februa ri Wiki Ya 1 3 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Ramani ya Tanzania kuonesha vituo vya kupokea na kueneza Kiswahili: Zanzibar, Tanga Tabora, Mzizima (DSM), Ujiji. • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU 1 Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Katika Enzi ya Waingereza 2. Kwa kutumia maswali na majibu na majadiliano na kuchunguza ramani ya Tanzania, mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini kuenea kwa Kiswahili katika enzi ya Waingereza nchini Tanzania. Februa ri Wiki Ya 2 3 Kiswahili Kidato Cha NNe Na Shaaban Njenge Ramani ya Tanzania kuonesha vituo vya kupokea na kueneza Kiswahili: Zanzibar, Tanga Tabora, Mzizima (DSM), Ujiji. • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi
AZIMIO LA KAZI LA KISWAHILI KIDATO CHA NNE 2023 MUHULA WA I & II 3 / 8 Umahiri Mkuu Umahiri Mahususi Shughuli Ya Ufundishaji Mwezi Wiki Vipind i Rejea Zana Za Ufundishaji Na Kujifunzia Upimaji Maoni WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU 1 Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Katika Enzi ya Waingereza 3. Mwalimu atumie majadiliano na bungua bongo kuongoza wanafunzi kueleza shughuli mbalimbali zinazowezesha ukuaji na ueneaji wa Kiswahili. Februa ri Wiki Ya 3 3 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Ramani ya Tanzania kuonesha vituo vya kupokea na kueneza Kiswahili: Zanzibar, Tanga Tabora, Mzizima (DSM), Ujiji. • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Baada ya Uhuru 1) kuchunguza chati za asasi mwalimu awangoze wanafunzi kutaja asasi mbalimbali zinazokuza na lcueneza Kiswahili nchini Tanzania, kama vile BAKITA, TUKI, UKUTA, TAKILUKI Taasisi ya Elimu Tanzania. Februa ri Wiki Ya 4 1 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Chati ya asasi zinazokuzadhima za kila mojawapo ya asasi za Kiswahili? • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Baada ya Uhuru 2. waongoze wanafunzi katika vikundi vya majadiliano na maswali na majibu kubaini dhima ya kila asasi ya kukuza na kueneza Kiswahili nchini Tanzania. Februa ri Wiki Ya 4 2 Chati ya asasi zinazokuzadhima za kila mojawapo ya asasi za Kiswahili? • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya 1. waongoze wanafunzi, kwa kutumia majadiliano, maswali na majibu, waeleze taarifa muhimu za maisha ya mwadishi wa kila kitabu. Machi Wiki Ya 1 3 Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya 1. waongoze wanafunzi, kwa kutumia majadiliano, maswali na majibu, waeleze taarifa muhimu za maisha ya mwadishi wa kila kitabu. Machi Wiki Ya 2 3 Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya 1. waongoze wanafunzi, kwa kutumia majadiliano, maswali na majibu, waeleze taarifa muhimu za maisha ya mwadishi wa kila kitabu. Machi Wiki Ya 3 1 Kiswahili Kidato Cha NNe Na Shaaban Njenge Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi
AZIMIO LA KAZI LA KISWAHILI KIDATO CHA NNE 2023 MUHULA WA I & II 4 / 8 Umahiri Mkuu Umahiri Mahususi Shughuli Ya Ufundishaji Mwezi Wiki Vipind i Rejea Zana Za Ufundishaji Na Kujifunzia Upimaji Maoni UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya 2. ongoza majadiliano ya taarifa zawaandishi zilizokusanywa na wanafunzi. 3. waongoze wanafunzi kwamajadiliano wa wahakiki vipengele vya fani. 5. tutmia maswali na majibu kuvibaini vipengele vya kifani na jinsi ya kuvihakiki katika riwaya, ushairi na tamthiliya teule. 7. Kwa kutumia vipengele vya kuchambua maudhui waongoze wanafunzi kuchambua maudhui katika ushairi, riwaya na tamthiliya teule. Machi Wiki Ya 3 2 Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi ; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi 27/03/2023 – 31/03/2023 (MITIHANI YA NUSU MUHULA WA WANZA) 31/03/2023 – 17/04/2023 (LIKIZO FUPI) UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya 3. waongoze wanafunzi kwa majadiliano wa wahakiki vipengele vya fani. 5. tutmia maswali na majibu kuvibaini vipengele vya kifani na jinsi ya kuvihakiki katika riwaya, ushairi na tamthiliya teule. 7. Kwa kutumia vipengele vya kuchambua maudhui waongoze wanafunzi kuchambua maudhui katika ushairi, riwaya na tamthiliya teule. Aprili Wiki Ya 3 3 Kiswahili Kidato Cha NNe Na Shaaban Njenge Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi UHAKIKI WA KAZI ZA FAME-I ANDISHI Uhakiki wa ushairi, tamthiliya na riwaya 3. waongoze wanafunzi kwa majadiliano wa wahakiki vipengele vya fani. 5. tutmia maswali na majibu kuvibaini vipengele vya kifani na jinsi ya kuvihakiki katika riwaya, ushairi na tamthiliya teule. 7. Kwa kutumia vipengele vya kuchambua maudhui waongoze wanafunzi kuchambua maudhui katika ushairi, riwaya na tamthiliya teule. Aprili Wiki Ya 4 3 Kiswahili Kidato Cha NNe Na Shaaban Njenge Vitabu mbalimbali vya fasihi. Vitabu teule vya riwaya, tamthiliya na ushairi. Kanda za video za riwaya na • Majaribio na mazoezi • kazi za nyumbani na mijadala ya darasani • mitihani ya mwezi