PDF Google Drive Downloader v1.1


Report a problem

Content text 3. FAMILY MEMBERS.pdf

LESSON 3 ( Somo la 3 ) FAMILY TREE / FAMILY MEMBERS ( Watu wa Familia ) -Hapa tunaangalia Jinsi ya kuwataja au kuwatambulisha watu wa Familia yako au ndugu zako kwa kiingereza. Grand-father / babu Grand-mother/ bibi Father/ baba Mother/mama Husband/ mume Wife/ Mke Aunt / shangazi Uncle/ mjomba Cousin/ Binamu Sister/ Dada Brother/ Kaka Daughter/ Mtoto wa kike kwenye familia Son/ Mtoto wa kiume kwenye familia Niece/ Mtoto wa kike wa dada au kaka yako Nephew/ Mtoto wa kiume wa dada au kaka yako Sister-in-law/ shemeji wa kike Brother-in-law/ Shemeji wa kiume Grand-child/ Mjukuu Grand-children/ Wajukuu Step / wa kambo / mlezi Step-father / baba wa kambo Step-mother / mama wa kambo

Related document

x
Report download errors
Report content



Download file quality is faulty:
Full name:
Email:
Comment
If you encounter an error, problem, .. or have any questions during the download process, please leave a comment below. Thank you.